Sbs Swahili - Sbs Swahili

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

 • Taarifa ya habari 28 Julai 2020

  Taarifa ya habari 28 Julai 2020

  28/07/2020 Duración: 13min

  Jeshi la polisi lawakamata watu sita katika maandamano ya Black Lives Matter mjini Sydney, Australia

 • Mazungumzo ya kumbukumbu ya hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa

  Mazungumzo ya kumbukumbu ya hayati Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa

  28/07/2020 Duración: 18min

  Usiku wa kuamkia tarehe 24 Julai 2020, Rais wa Jamahuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli kwa masikitiko makubwa, aliutangazia umma kutokea kwa kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mheshimiwa Benjamin William Mkapa.

 • Wanaharakati waishinikiza Australia iache kuwafunga watoto wenye miaka 10

  Wanaharakati waishinikiza Australia iache kuwafunga watoto wenye miaka 10

  27/07/2020 Duración: 07min

  Australia bado inawaweka watoto wenye umri wa miaka 10 gerezani, licha ya kampeni ya muda mrefu yakuongeza umri wa uwajibikaji wa uhalifu.

 • Taarifa ya habari 26 Julai 2020

  Taarifa ya habari 26 Julai 2020

  26/07/2020 Duración: 13min

  Serikali yashirikisho yakabiliwa kwa ukosoaji mkali kuhusu inavyo simamia maswala yakudorora kwa uchumi.

 • Samatta na Villa watanusurika kutimuliwa ligi kuu Uingereza?

  Samatta na Villa watanusurika kutimuliwa ligi kuu Uingereza?

  26/07/2020 Duración: 12min

  Umekuwa msimu ulio jawa changamoto nyingi bila kuongeza janga la COVID-19, lililotishia kufuta msimu wa ligi kuu ya Uingereza. 

 • Janga la COVID-19 la leta mageuzi kwa huduma ya ukalimani kupitia video katika mfumo wa Telehealth

  Janga la COVID-19 la leta mageuzi kwa huduma ya ukalimani kupitia video katika mfumo wa Telehealth

  26/07/2020 Duración: 08min

  Janga la COVID-19 lime sababisha changamoto maalum kwa mfumo wa afya wa Australia, baadhi ya changamoto hizo zikijumuisha jinsi yakutoa chaguzi za huduma ya afya kwa simu pamoja najamii zenye tamaduni tofauti.

 • Mwongozo wa Makazi: Jinsi mawakala wa uhamiaji wanavyo tumika nchini Australia

  Mwongozo wa Makazi: Jinsi mawakala wa uhamiaji wanavyo tumika nchini Australia

  21/07/2020 Duración: 15min

  Waombaji viza waliokata tamaa sasa wanawageukia mawakala wa uhamiaji kama tumaini lao la maisha mapya hapa Australia.

 • Taarifa ya habari 21 Julai 2020

  Taarifa ya habari 21 Julai 2020

  21/07/2020 Duración: 14min

  Mpango wa ruzuku ya mshahara wa serikali ya shirikisho, utabadilishwa pamoja nakuendelezwa hadi Machi 2021.

 • Nikwanini kuvaa barakoa kumefanywa kuwa lazima katika baadhi ya nchi?

  Nikwanini kuvaa barakoa kumefanywa kuwa lazima katika baadhi ya nchi?

  21/07/2020 Duración: 09min

  Victoria itakuwa jimbo lakwanza nchini Australia kuwasilisha amri yalazima kuvaa barakoa, wakati jimbo hilo linajaribu kudhibiti maambukizi ya COVID-19 ndani ya jamii.

 • Taarifa ya habari 19 Julai 2020

  Taarifa ya habari 19 Julai 2020

  19/07/2020 Duración: 12min

  Wakaazi wa miji ya Melbourne na Mitchell Shire, watakiwa kuvaa barakoa au kitu kinacho funika uso kuanzia alhamisi wiki ijayo. 

 • Hatua kubwa yapigwa katika uzalishaji wa chanjo ya COVID-19

  Hatua kubwa yapigwa katika uzalishaji wa chanjo ya COVID-19

  19/07/2020 Duración: 06min

  Majaribio ya chanjo ya COVID-19 kwa binadam yame anza jimboni Queensland, watu wa kwanza walio shiriki katika jaribio hilo walipokea chanjo zao jumatatu.

 • Dr Benedict COVID-19 imeleta umasikini nakuvunja familia

  Dr Benedict "COVID-19 imeleta umasikini nakuvunja familia"

  14/07/2020 Duración: 40min

  Australia hupokea makumi yamaelfu yawanafunzi wakimataifa kila mwaka, kutoka duniani kote. 

 • VIVA: Jinsi yakutumia huduma ya matibabu kwa njia ya mtandao almaarufu telehealth

  VIVA: Jinsi yakutumia huduma ya matibabu kwa njia ya mtandao almaarufu telehealth

  14/07/2020 Duración: 17min

  Waaustralia wanazidi kutegemea zaidi huduma ya matibabu kwa njia ya simu maarufu kama telehealth wakati wa janga hili la virusi vya corona.

 • Taarifa ya habari 14 Julai 2020

  Taarifa ya habari 14 Julai 2020

  14/07/2020 Duración: 14min

  Afisa mkuu wa afya wa Victoria aonya kuwa hivi karibuni kutakuwa visa hatari zaidi vya watu wenye COVID-19, jimboni humo ambao watahitaji kulazwa hospitalini.

 • Grace:Kufungwa mpaka wa VIC-NSW, kuna usumbufu lakini nikwa maslahi yetu

  Grace:"Kufungwa mpaka wa VIC-NSW, kuna usumbufu lakini nikwa maslahi yetu"

  14/07/2020 Duración: 08min

  Hatua yakufunga mpaka kati yajimbo la Victoria na New South Wales, kwa ajili yakudhibiti usambaaji wa Coronavirus imezua hisia mseto miongoni mwa wakazi wamajimbo hayo mbili. 

 • Jamii zawahamiaji katika miji yamipakani zapata taabu kupata taarifa mpya

  Jamii zawahamiaji katika miji yamipakani zapata taabu kupata taarifa mpya

  14/07/2020 Duración: 07min

  Baadhi yajamii katika maeneo yampaka kati ya New South Wales na Victoria ambao kwa sasa umefungwa, wanapata taabu kupata taarifa kuhusu COVID-19 katika lugha zao. 

 • Dhiki yatanda miongoni mwa wakazi wamiji ya mpaka wa Victoria na New South Wales

  Dhiki yatanda miongoni mwa wakazi wamiji ya mpaka wa Victoria na New South Wales

  13/07/2020 Duración: 09min

  Mamlaka wamechukua hatua kali zakuzuia usambaaji wa virusi vya COVID-19 katika jamii kote nchini Australia. 

 • Taarifa ya habari 12 Julai 2020

  Taarifa ya habari 12 Julai 2020

  12/07/2020 Duración: 14min

  Wanafunzi jimboni Victoria kutoka shule za chekechea hadi kidato cha 10, lazima wasomee nyumbani hadi amri yamarufuku yakutotangamana itakapo isha tarehe 19 Agosti.

 • Wakazi wa Victoria wahamasishwa wavae barakoa, baada ya ongezeko yamaambukizi ya coronavirus

  Wakazi wa Victoria wahamasishwa wavae barakoa, baada ya ongezeko yamaambukizi ya coronavirus

  10/07/2020 Duración: 07min

  Afisa mkuu wa afya wa Victoria anawahamasisha watu wavae barakoa wakiwa nje, wakati jimbo hilo limerekodi visa vipya 288 vya COVID-19.

 • Taarifa ya habari 7 Julai 2020

  Taarifa ya habari 7 Julai 2020

  07/07/2020 Duración: 14min

  Maelfu waondoka Victoria kabla yampaka wa New South Wales kufungwa.

página 1 de 10

Informações: