Sbs Swahili - Sbs Swahili

Taarifa ya Habari 9 Mei 2023

Informações:

Sinopsis

Waziri Mkuu Anthony Albanese amesema bajeti ya serikali yake inazidi makadirio yakiuchumi, kutoka serikali ya zamani ya mseto na itatoa afueni fanisi kwa gharama ya maisha kwa familia.