Jioni - Voice Of America

Watu zaidi ya milioni 8.4 huko Sudan wakiwemo watoto milioni mbili walio chini ya miaka mitano wako ukingoni mwa baa la njaa; inasema MSF. - Aprili 14, 2024

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.