Alfajiri - Voice Of America

Historia yaandikwa baada ya Donald Trump kuwa rais wa zamani kusimama kizimbani - Aprili 23, 2024

Informações:

Sinopsis

Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.