Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 114:01:41
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Kuadhimisha wiki ya NAIDOC
02/07/2023 Duración: 08minWiki ya sherehe na kutambua historia na mafanikio yawa Aboriginal, inayo julikana kwa jina la NAIDOC ime anza leo Julai 2.
-
Taarifa ya Habari 27 Juni 2023
27/06/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese atetea hatua za serikali yake kukabili mgogoro wa utoaji wa nyumba.
-
Ongezeko ya gharama ya maisha yawaacha wafanyakazi wa mshahara wa chini bila uwezo wakumudu vitu vya msingi
27/06/2023 Duración: 08minUtafiti mpya ume pata kuwa mfanyakazi nchini Australia wa wakati wote, anaye lipwa mshahara wa chini, huwa ana salia tu na $57 baada ya gharama mhimu za kila wiki.
-
Taarifa ya Habari 25 Juni 2023
25/06/2023 Duración: 18minWaziri wa wa fedha Julie Collins ametetea uwekezaji wa serikali wenye thamani ya bilioni 10 kupitia mradi wa Housing Australia Future Fund, wakati vyama vya Greens na Mseto viki endelea kuzuia muswada huo kupita bungeni.
-
Jinsi yakuomba nyongeza ya mshahara nchini Australia
25/06/2023 Duración: 11minKuomba uongezewe mshamahara kunaweza kuwa vigumu kwa wafanyakazi wengi ila si lazima iwe hivyo.
-
Abang "nilimuona mama baada ya miaka 22 yakutengana naye"
22/06/2023 Duración: 20minWiki ya wakimbizi huadhimishwa nchini Australia kati ya 18 Juni hadi 24 Juni kila mwaka.
-
Unafanyaje mipangilio ya uzazi baada yakuachana na mchumba wako?
19/06/2023 Duración: 12minChini ya sheria ya Familia, haki za ustawi wa watoto huongoza mazungumzo yote ya uzazi, baada ya wanandoa kutengana au kupata talaka.
-
Wanamgambo wauwa wanafunzi 41 Uganda
19/06/2023 Duración: 07minWanamgambo wa kundi la ADF wenye uhusiano na kundi la Islamic State waliua wanafunzi 41 na kuteka nyara wengine sita katika shambulio kwenye shule kaskazini mwa Uganda karibu na mpaka na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, jeshi lilisema Jumamosi.
-
Taarifa ya Habari 18 Juni 2023
18/06/2023 Duración: 15minKiongozi wa chama cha Nationals ndani ya Seneti Bridget McKenzie, ame elezea hatua ambazo zimechukuliwa dhidi ya Seneta David Van baada ya madai ya matendo yasiyo faa kuwa yalikuwa ni uamuzi thabiti.
-
Lidia Thorpe asema alinyanyaswa na Seneta David Van ambaye amekana madai hayo
18/06/2023 Duración: 07minShutma za unyanyasaji wakijinsia za Seneta Lidia Thorpe za 2021, dhidi ya Seneta mwenza David Van, zime zua dhoruba Bungeni.
-
Taarifa ya Habari 13 Juni 2023
13/06/2023 Duración: 17minWaziri Mkuu Anthony Albanese amesema Australia inastahili chukua fursa yakuwa kiongozi wa nishati mbadala.
-
Kuelewa sekta za shule za Australia
13/06/2023 Duración: 11minWa Australia wana bahati yakuwa na sekta mbali mbali za shule na, uwezo wa kuchagua sekta ipi inawafaa watoto wao pamoja namazingira.
-
Taarifa ya Habari 11 Juni 2023
11/06/2023 Duración: 18minWaziri wa huduma ya wazee Anika Wells amesema kufanya mageuzi katika mfumo wa huduma ya wazee ni binafsi kwake, Bi Wells amesema aliona matatizo tena, alipo fanya ziara ndani ya vifaa vya huduma baada yakuwa waziri wa huduma ya wazee.
-
Ziara ya kombe la dunia ya anza nchini Australia kabla ya michuano hiyo kuanza
11/06/2023 Duración: 07minTiketi milioni moja za kombe la dunia, la soka ya wanawake itakayo andaliwa nchini Australia na New Zealand zime uzwa tayari.
-
Isaac Kisimba "Nilifungua JFSS ili watu wetu wapate huduma kwa zinazo stahili"
08/06/2023 Duración: 20minIdadi ya watu kutoka jamii zenye asili ya Afrika Mashariki na Kati , inaendelea kuongezeka nchini kila mwaka kulingana na takwimu za serikali.
-
Taarifa ya Habari 6 Juni 2023
06/06/2023 Duración: 18minSerikali ya Labor ya Magharibi Australia imekutana kupendekeza rasmi Roger Cook, awe kiongozi mpya wa jimbo hilo.
-
Kutunza Walezi: Jinsi yakupata huduma za usaidizi wa walezi nchini Australia
06/06/2023 Duración: 11minTakriban mtu mmoja kati yawatu tisa nchini Australia ni walezi, watu ambao huwa hudumia jamaa wao ambao ni wazee, wadhaifu, marafiki, au mtu anaye ishi na hali fulani ya afya au ulemavu.
-
Ushoga sasa waweza gharimu hukumu ya kifo Uganda
03/06/2023 Duración: 09minUganda imepitisha sheria kali dhidi ya kundi la watu wanao jitambua kama LGBTIQ+, hatua ambayo imevutia ukosoaji mkali kutoka mataifa ya magharibi pamoja wana harakati barani Africa.
-
Taarifa ya Habari 30 Mei 2023
30/05/2023 Duración: 20minKampuni moja iliyopewa kandarasi imesimamishwa kushiriki katika miradi yote kubwa ya reli, baada yaku kumbwa kwa kasha ya utapeli jimboni Victoria.
-
Jinsi yakupata nyumba ya kukodi Australia
30/05/2023 Duración: 11minSasa hivi, kuna chini ya nyumba 50,000 za kukodisha kote nchini. Miaka mbili iliyopita, idadi ya nyumba hizo ilikuwa karibu mara mbili.