Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 116:23:09
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Taarifa ya Habari 30 Oktoba 2022
30/10/2022 Duración: 19minWaziri wa nishati Chris Bowen ametetea sera za nishati za serikali. Bajeti ya shirikisho ya wiki hii inatabiri kupanda kwa bei ya rejareja ya umeme, ya 56% kwa miaka mbili ijayo, wakati bei ya rejareja ya gesi itaongezeka kwa 40% katika wakati kama huo.
-
Dor Jok: "Vijana wengi hapa wanaweza cheza katika A-League wakipewa fursa"
29/10/2022 Duración: 04minLengo la vijana wengi wanao cheza mpira wa miguu nchini Australia, nikuwa wachezaji wakulipwa na hata kushiriki katika michuano yakimataifa.
-
Faida na hatari zaku nunulia bidhaa mtandaoni
26/10/2022 Duración: 10minHatakama kuemelea mtandaoni huwapa watumiaji faida kama, urahisi na punguzo, ila hatua hiyo pia huja na hatari nyingi.
-
Taarifa ya Habari 25 Oktoba 2022
25/10/2022 Duración: 19minMweka Hazina wa taifa Jim Chalmers ame ahidi kutoa bajeti itakayo lenga kutoa afueni kwa gharama ya maisha, kupiga jeki uchumi pamoja nakuwa rafiki kwa familia.
-
Macho yote yaelekezwa Canberra kwa bajeti ya Shirikisho
25/10/2022 Duración: 07minWakati chama cha Labor kina jiandaa kutangaza bajeti yake ya kwanza baada ya takriban muongo, Mweka Hazina wa shirikisho Jim Chalmers anatoa utabiri mpya wakiuchumi.
-
Taarifa ya Habari 23 Oktoba 2022
23/10/2022 Duración: 19minWaziri Mkuu amesema bajeti ya shirikisho itakayo tolewa Jumanne, itakuwa na hatua za usimamizi wa dharura pamoja na maandalizi ya maafa wakati dharura ya mafuriko inaendelea katika sehemu kubwa ya pwani ya mashariki ya taifa kwa wiki ya pili.
-
Jean Marie "Viongozi wajamii wanafanya wawezavyo kusaidia jamii wakati huu wa mafuriko ya Shepperton"
19/10/2022 Duración: 08minMji wa Shepperton jimboni Victoria unaendelea kukabiliwa kwa mafuriko ambayo yame walazimisha wakaaji kuhama nyumba zao nakutafuta hifadhi kwa marafiki na vituo vya dharura.
-
Taarifa ya Habari 18 Oktoba 2022
18/10/2022 Duración: 21minWaziri wa Afya Mark Butler, ame ahidi kuwa madai ya ulaghai yaliyo enea kuhusu mfumo wa medicare yanachukuliwa hatua ipaswayo.
-
Papi "Tuliambiwa usiku saa tano tuondoke nyumbani"
18/10/2022 Duración: 09minBaadhi ya wakaaji wa jiji la Shepperton wanaendelea kupokea huduma katika vituo vya msaada, baada yamafuriko kuwalazimisha kukimbia nyumba zao.
-
Taarifa ya habari 16 Oktoba 2022
16/10/2022 Duración: 18minMafuriko yalazimisha makumi yama elfu yawakaaji wa Shepparton, Orrvale, Murchison, Mooroopna na maeneo yakaribu kutafuta makaazi mbadala.
-
Taarifa ya Habari 11 Oktoba 2022
11/10/2022 Duración: 17minWanafunzi wamatibabu na madaktari waungana na serikali ya shirikisho mjini Canberra, kutafuta suluhu kwa uhaba wama GP nchini.
-
Yves "Ukiwa na wengine unaweza fika mbali zaidi"
09/10/2022 Duración: 08minVijana wengi wenye asili ya Afrika, wame zaliwa naku kuwia katika mazingira yakidini, ila baadhi yao wanapo fika Australia. ndivyo wanavyo iacha dini hiyo nakujitenga na jamii zao.
-
Yves "Silazima makampuni ya hifadhi data za wateja wao kwa muda mrefu"
06/10/2022 Duración: 17minKampuni ya Optus imejipata mashakani hivi karibuni, baada ya mdukuzi kuchapisha mtandaoni taarifa ya wateja wa kampuni hiyo mtandao.
-
SBS Swahili Mubashara 4 Oktoba 2022
05/10/2022 Duración: 52minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Charles "Lazima tuishi na pressure sababu sisi ndio sura ya waafrika katika ligi"
05/10/2022 Duración: 06minCharles Mmombwa ni mmoja wa wachezaji wenye asili ya Afrika, wenye sifa kubwa sana kwa vipaji vyao katika ligi kuu ya mpira wa miguu ya Australia.
-
Taarifa ya Habari 4 Oktoba 2022
04/10/2022 Duración: 18minMweka hazina wa taifa asisitiza kuwa serikali bado haija badili msimamo wayo kwa makato ya kodi ya awamu ya tatu, licha ya ukosoaji kwa mpango huo kutoka upinzani na wadau wengine.
-
Mchungaji Joseph "Mungu ametutuma kuleta uamsho Australia"
03/10/2022 Duración: 06minDini ni sehemu mhimu katika maisha ya watu wengi haswa watu wenye asili ya Afrika.
-
Taarifa ya Habari 2 Oktoba 2022
02/10/2022 Duración: 21minSerikali ya Victoria yaahidi mamia yamamilioni ya dola kuboresha mfumo wa afya ya umma iwapo itashinda uchaguzi wa jimbo ujao.
-
Je! Tanganyika ilikuwa bora chini ya ulinzi wa Uingereza kuliko ukoloni wa Ujerumani?
29/09/2022 Duración: 09minKifo cha Malkia Elizabeth II kili ibua hisia mseto kote duniani, haswa Tanzania ambako watu wa vizazi tofauti walipokea taarifa ya kifo chake katika hali tofauti.
-
Taarifa ya Habari 27 Septemba 2022
27/09/2022 Duración: 18minAsilimia 95 ya familia zenye watoto nchini Australia, kufaidi kupitia mageuzi ya serikali ya shirikisho kwa gharama ya huduma ya malezi ya watoto.