Sbs Swahili - Sbs Swahili
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 114:40:20
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.
Episodios
-
Bill "Manchester Utd ni sehemu ya utambulisho wangu"
10/08/2022 Duración: 08minWatu wengi wenye asili ya Afrika wana mapenzi ya dhati kwa mchezo wa mpira wa miguu.
-
Jinsi mizio inavyo dhibitiwa katika shule za Australia
09/08/2022 Duración: 09minAustralia ina moja ya viwango vya juu zaidi vya mzio wa chakula duniani.
-
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2022
09/08/2022 Duración: 15minWiki mbili baada yakujiuzulu, aliyekuwa naibu kiongozi wa New South Wales aendelea kukabiliwa kwa maswali, kuhusu alivyo teuliwa kuwa mjumbe wa biashara wa jimbo la NSWmjini New York
-
Patrick: "Majirani waliniambia jinsi watu walikufa, na niliona nyumba za familia yangu zilizo bomolewa"
09/08/2022 Duración: 08minWanachama wa jamii yawanyarwanda wame chapisha kitabu kwa jina la Survivors Uncensored, chenye zaidi ya hadithi 100 kuhusu waliyo shuhudia wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Wanasia wame uza sera, kazi sasa kwa raia debeni
08/08/2022 Duración: 07minHatimae kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya zilizo dumu kwa muda mrefu zaidi katika historia zime isha.
-
Utata waendelea kukumba uhusiano kati ya Australia na China
07/08/2022 Duración: 06minIkulu ya Marekani imekosoa ongezeko la mazoezi yakijeshi ya China katika maeneo yanayo zingira Taiwan, kama tendo laki chochezi na lisilo na uwajibikaji.
-
Taarifa ya Habari 7 Agosti 2022
07/08/2022 Duración: 17minZiara ya spika wa bunge ya Marekani, yazua tumbojoto kwa mahusiano kati ya Australia na China.
-
Delphin: "Nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawataki tuongee kuhusu yaliyo fanyika 1994"?
06/08/2022 Duración: 11minWanachama wa jamii yawanyarwanda wame chapisha kitabu chenye zaidi ya hadithi 100 kuhusu waliyo shuhudia wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994.
-
Taarifa ya Habari 2 Agosti 2022
04/08/2022 Duración: 17minSerikali ya shirikisho ya sherehekea kupitishwa kwa muswada wake wa kwanza bungeni.
-
Labor yachukua hatua yakuondoa matumizi ya kadi ya malipo
31/07/2022 Duración: 08minSerikali ya Albanese ili ahidi kabla ya uchaguzi mkuu kuwa, ita futa matumizi ya malipo ya kadi ya benki yenye utata.
-
Taarifa ya Habari 31 Julai 2022
31/07/2022 Duración: 17minWaziri Mkuu aweka wazi maneno yatakayo tumiwa kwenye kura ya maoni, yakutoa sauti kwa wa Australia wa kwanza bungeni.
-
Australia yachukua hatua kuelekea kutoa Sauti ya wa Australia wa kwanza bungeni
31/07/2022 Duración: 07minWaziri Mkuu Anthony Albanese amependekeza mageuzi kwa katiba, wakati Australia inachukua hatua zakihistoria zakuwa na sauti ya watu wa asili bungeni.
-
Mejja awapa wagenge chanjo
27/07/2022 Duración: 09minNi takriban miaka mbili tangu tamasha zilipo pigwa marufuku, katika juhudi yakudhibiti usambaaji wa maambukizi ya UVIKO-19.
-
SBS Swahili Mubashara 26 Julai 2022
27/07/2022 Duración: 49minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
SBS Swahili Mubashara 24 Julai 2022
27/07/2022 Duración: 53minUnaweza sikiza makala ya Idhaa ya Kiswahili ya SBS, yanayo peperushwa kati ya saa nne na saa tano kila usiku wa Jumapili bila matangazo au miziki.
-
Ni mbinu gani bora yakupasha joto nyumba yako nchini Australia?
26/07/2022 Duración: 11minKuchagua mfumo sahihi wakupasha joto katika nyumba yako, huwa rahisi unapojua vifaa ambavyo vipo.
-
Taarifa ya Habari 26 Julai 2022
26/07/2022 Duración: 15minSerikali ya Albanese yataka muswada unao husu mabadiliko ya tabianchi, kuwa ushindi wake wa kwanza bungeni.
-
Je! kipi bora, kuwakilisha nchi yako au kujitaftia maslahi yako binafsi?
24/07/2022 Duración: 13minWanariadha wengi wenye asili ya Kenya, wana endelea kujipata kwenye njia panda, wengi wakikabiliwa na uamuzi wakuwakilisha nchi zao nakusalia na pato dogo au kujitafutia riziki zao binafsi katika mataifa mengine.
-
Taarifa ya Habari 24 Julai 2022
24/07/2022 Duración: 18minSerikali ya shirikisho kuwasilisha miswada 18 katika wiki ya kwanza ya vikao vya bunge la 47.
-
Djuma "maandalizi yetu kwa mashindano ya mwisho wa mwaka yana endelea vizuri"
20/07/2022 Duración: 04minKundi la vijana kutoka jamii yenye asili ya Jamhuri yakidemokrasia ya Congo wanao ishi mjini Sydney, lina ongeza kasi ya maandalizi kwa mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu ya mwisho wa mwaka.