Jioni - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 28:29:14
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Episodios
-
Kipindi maalum cha salaam za Eid kutoka studio za VOA, Washington - Aprili 10, 2024
10/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Jioni - Aprili 09, 2024
09/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Wafanyabiashara nchini Uganda wameandamana kupinga ongezeko la kodi na sera ya kodi isiyo ya haki katika nakala za fedha za kielektronik - Aprili 08, 2024
08/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Jioni - Aprili 07, 2024
07/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Rwanda inajiandaa kuadhimisha miaka 30 ya mauaji ya Kimbari - Aprili 06, 2024
06/04/2024 Duración: 29minRwanda inajiandaa kuadhimisha miaka 30 ya mauaji ya Kimbari
-
Jioni - Aprili 05, 2024
05/04/2024 Duración: 59minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Jioni - Aprili 04, 2024
04/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Jioni - Aprili 03, 2024
03/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Dunia inaadhimisha siku ya Usonji au Autism huku wazazi wanaoishi na watoto wenye tatizo hilo wanaelezea changamoto zilizopo katika matibabu - Aprili 02, 2024
02/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Jioni - Aprili 01, 2024
01/04/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Mapato kutokana na utalii nchini Kenya yaliongezeka takribani theluthi moja mwaka 2023 - Machi 31, 2024
31/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Vatican yathibitisha kuwa Papa Francis ataongoza ibada ya mkesha wa Pasaka - Machi 30, 2024
30/03/2024 Duración: 29minVatican yathibitisha kuwa Papa Francis ataongoza ibada ya mkesha wa Pasaka
-
Mazungumzo ya Live Talk kuhusu Ijumaa kuu pamoja na wikiendi ya Pasaka kwa ujumla. - Machi 29, 2024
29/03/2024 Duración: 59minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Mamlaka ya Palestina imetangaza kuundwa kwa baraza jipya la mawaziri wakati ikikabiliwa na shinikizo la kimataifa la kufanya mageuzi - Machi 28, 2024
28/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Uingereza kutoa pauni 3,000 kwa wahamiaji watakaojitolea kupelekwa Rwanda kwa hiari. - Machi 27, 2024
27/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Kanuni mpya ya uchaguzi nchini Sudan Kusini inakosolewa vikali na vyama vya upinzani nchini humo - Machi 26, 2024
26/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Raia wa Senegal wasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi wa Rais, baada ya kupiga kura Jumapili. - Machi 25, 2024
25/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Katika siku ya TB Duniani, WHO yatoa wito kuchukuliwa hatua ili kuondoa janga hili - Machi 24, 2024
24/03/2024 Duración: 29minKatika siku ya TB Duniani, WHO yatoa wito kuchukuliwa hatua ili kuondoa janga hili
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres anatembelea mpaka wa Misri na Gaza huku Israel ikiapa kutuma vikosi kupambana na Hamas - Machi 23, 2024
23/03/2024 Duración: 29minMatangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
-
Mjadala waangazia vyama vya upinzani, changamoto na utekelezaji wa majukumu yao katika Afrika Mashariki - Machi 22, 2024
22/03/2024 Duración: 59minMjadala waangazia vyama vya upinzani changamoto na utekelezaji wa majukumu yao katika Afrika Mashariki