Alfajiri - Voice Of America
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 24:59:26
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast
Episodios
-
Tanzania yatakiwa kuwekeza zaidi katika Kilimo na Uvuvi kupunguza umasikini. - Juni 19, 2024
19/06/2024 Duración: 29min -
Wazazi watakiwa kutambua umuhimu wa malezi ya mtoto kwa pamoja - Juni 17, 2024
17/06/2024 Duración: 29min -
Jeshi la Israel limeua watu 33 kwenye shule ya Umoja wa Mataifa katikati mwa Gaza - Juni 07, 2024
07/06/2024 Duración: 29min -
Serikali ya Kenya imetangaza kununua takribani dozi milioni nane za chanjo za watoto nchini humo. - Juni 06, 2024
06/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa Marekani ametangaza amri ya kiutendaji siku ya Jumanne itakayozuia kwa muda ustahiki wa hifadhi katika mpaka wa Marekani na Mexico - Juni 05, 2024
05/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Mazungumzo ya kuunda serikali ya kwanza ya muungano nchini Afrika kusini yanatarajiwa kuanza wiki hii - Juni 04, 2024
04/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad amejiandikisha kuwania urais katika uchaguzi ujao. - Juni 03, 2024
03/06/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Trump apatikana na hatia ya makosa 34 katika kesi yake ya kwanza ya jinai - Mei 31, 2024
31/05/2024 Duración: 30min -
Zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi nchini Afrika Kusini linaendelea - Mei 30, 2024
30/05/2024 Duración: 29min -
Blinken na mkuu wa jeshi la Sudan wajadili haja ya kumaliza vita nchini Sudan - Mei 29, 2024
29/05/2024 Duración: 29min -
Rais Joe Biden wa Marekani ametangaza nia yake ya kuiteua nchi ya Kenya kuwa mshirika mkubwa wa Marekani ambaye sio mwanachama wa NATO - Mei 24, 2024
24/05/2024 Duración: 29minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
-
Rais Biden amekutana White House na Rais Ruto wa Kenya kwa ziara ya kitaifa wakati Kenya ikijiandaa kupeleka askari wake 1,000 huko Haiti. - Mei 23, 2024
23/05/2024 Duración: 30minMatangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.