Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 107:08:58
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Taarifa ya Habari 23 Aprili 2024

    23/04/2024 Duración: 18min

    Waziri Mkuu amewasifu wanajeshi wa Australia walio kuwa sehemu ya historia ya jeshi, katika eneo la Kokoda Track anapo jiandaa kutembea katika nyayo zamagwiji.

  • Jinsi yakupata leseni yakuendesha gari Australia

    23/04/2024 Duración: 12min

    Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani.

  • Nicky "kupitia Taunet Nelel vijana wengi wame anza kujijenga kimaisha"

    19/04/2024 Duración: 12min

    Wakenya wanao ishi Australia watajumuika katika jiji la Dandenong jimboni Victoria, kuhudhuria hafla la shirika la Taunet Nelel.

  • Taarifa ya Habari 19 Aprili 2024

    19/04/2024 Duración: 15min

    Waziri Mkuu ame sisitiza umuhimu wa mshikamano wakijamii nchini Australia, kufuatia uchunguzi kwa shambulizi lakigaidi la kudungwa kisu ndani ya kanisa wiki hii.

  • Kuelewa haki yakuandamana Australia na usawa kati ya uhuru wakujieleza na majukumu yakijamii

    19/04/2024 Duración: 11min

    Karibu kila wiki wa Australia walio na shauku huwa nje mitaani, wakipaza sauti zao waki andamana kuhusu maswala muhimu.

  • Taarifa ya Habari 18 Aprili 2024

    18/04/2024 Duración: 07min

    Askofu aliye dungwa kisu wakati wa ibada iliyo kuwa ikipeperushwa mubashara, amezungumza kwa mara ya kwanza tangu shambulizi hilo linalo shukiwa kuwa lakigaidi, akisema ame msamehe kijana anaye shukiwa kuwajibika kwa shambulizi hilo.

  • Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora

    16/04/2024 Duración: 12min

    Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.

  • Taarifa ya Habari 15 Aprili 2024

    15/04/2024 Duración: 06min

    Polisi wamesema mwanaume aliye uwa watu sita kwa kuwadunga kisu ndani ya soko la Westfield Bondi Junction, ali waepuka wanaume kimakusudi nakuwalenga wanawake na watoto.

  • Polisi wamtambua mshambuliaji katika mauaji ya watu wengi ambako watu sita walifariki

    15/04/2024 Duración: 07min

    Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.

  • Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024

    12/04/2024 Duración: 16min

    Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya halaiki ya Port Arthur.

  • Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia

    12/04/2024 Duración: 14min

    Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.

  • Taarifa ya Habari 9 Aprili 2024

    09/04/2024 Duración: 15min

    Shirika la ustawi wa jamii lina omba pawe ongezeko kwa malipo ya hifadhi ya jamii baada ya utafiti wayo mpya kupata kuwa, wa Australia wanao pokea malipo ya ustawi wanakabiliana na hali ngumu kumudu moja ya ongezeko gumu zaidi la gharama ya maisha katika miongo.

  • Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024

    08/04/2024 Duración: 08min

    Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.

  • Mkurugenzi afunguka kuhusu ziara ya Australia

    08/04/2024 Duración: 17min

    Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.

  • Mgomo wamadaktari wa tikisa sekta ya matibabu Kenya

    23/03/2024 Duración: 06min

    Muungano wa Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno nchini Kenya (KMPDU) ulizindua mgomo wa kitaifa ukitaka mazingira bora ya kazi na nyongeza ya mishahara Machi 13.

  • Taarifa ya Habari 22 Machi 2024

    22/03/2024 Duración: 15min

    Waziri wa Ulinzi Richard Marles amesema uchumi utafaidi kupitia makubaliano yakupiga jeki uzalishaji wa manowari yanayo tumia nishati ya nyuklia ya Uingereza kama sehemu ya mkataba wa AUKUS.

  • Jinsi yakuandaa ombi la kazi: vidokezo vya mafanikio

    22/03/2024 Duración: 11min

    Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

  • The importance of understanding cultural diversity among Indigenous peoples - Umuhimu wa kuelewa tofauti zakitamaduni miogoni mwa wa Australia wa kwanza

    22/03/2024 Duración: 09min

    Understanding the diversity within the First Nations of Australia is crucial when engaging with Aboriginal and Torres Strait Islander peoples and building meaningful relationships. - Kuelewa utofauti ndani ya jumuiya yawa Australia wa Kwanza ni muhimu unapo jihusisha nawa Aboriginal na wanavisiwa wa Torres Strait pamoja nakujenga mahusiano yenye maana.

  • Taarifa ya Habari 19 Machi 2024

    19/03/2024 Duración: 18min

    Serikali ya Albanese imesema itapinga kuachiwa huru kwa zaidi ya watu 100 ambao wako ndani ya kizuizi cha uhamiaji, katika kesi nyingine muhimu itakayo fikishwa mbele ya mahakama kuu.

  • Wasiwasi wachukua nafasi ya zawadi za Pasaka kwa famiia zinazo pitia wakati mgumu

    19/03/2024 Duración: 08min

    Wakati wa Australia wengi wana jiandaa kwa likizo ndefu ya Pasaka, mashirika yamisaada ya chakula nayo yana jiandaa kwa muda wa shughuli nyingi zaidi ya mwaka.

página 8 de 26