Sbs Swahili - Sbs Swahili

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 108:57:08
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Episodios

  • Wanafunzi walengwa kuwa wasafirishaji wa pesa na wanakabiliwa na madhara makubwa

    20/02/2024 Duración: 09min

    Kuna onyo mpya kuhusu matangazo yakufanyia kazi nyumbani, ambayo yanaonekana kuvutia sana au yanayo ahidi maokoto makubwa kwa uwekezaji.

  • Taarifa ya Habari 19 Februari 2024

    19/02/2024 Duración: 06min

    Waziri wa mazingira Tanya Plibersek amemshtumu Peter Dutton kwa kuwasaidia wasafirishaji haramu wa watu kufanya matangazo, kwa kudai kuwa serikali ya shirikisho imeregeza hatua za usalama mpakani.

  • Taarifa ya Habari 16 Februari 2024

    16/02/2024 Duración: 17min

    Upinzani wa shirikisho una wasiwasi kuhusu hali ya uchumi wa Australia, kiwango cha ukosefu wa ajira kikiongezeka hadi 4.1%.

  • Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

    16/02/2024 Duración: 11min

    Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.

  • Kuwa salama katika jua bila kujali aina ya ngozi yako

    16/02/2024 Duración: 11min

    Miongozo ya usalama wa jua imesasishwa kwa mara ya kwanza kujumuisha ushauri kwa aina tofauti za ngozi.

  • What is Lunar New Year, and how is it celebrated in Australia? - Mwaka Mpya wa Lunar ni nini, na unasherehekewaje Australia?

    14/02/2024 Duración: 10min

    "Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.

  • Taarifa ya Habari 13 Februari 2024

    13/02/2024 Duración: 18min

    Serikali ya shirikisho iko katika hatari yaku kosa kuungwa mkono kwa sera yake muhimu ya nyumba.

  • Vincent afunguka kuhusu sekta ya ucheshi Australia

    13/02/2024 Duración: 07min

    Idadi ya wacheshi wenye asili ya Afrika ina endelea kuongezeka nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 9 Februari 2024

    09/02/2024 Duración: 18min

    Uchambuzi mpya wa shirika la Regional Australia Institute umepata kuwa bei za nyumba katika maeneo ya kanda, zina fika viwango vya juu nakukaribia bei katika soko za miji.

  • Ni mbinu ipi bora ya kutokomeza ukeketaji

    09/02/2024 Duración: 11min

    Mashirika mbali mbali yana endelea kuongeza juhudi kutokomeza ukeketaji, pamoja nakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

  • Taarifa ya Habari 8 Februari 2024

    09/02/2024 Duración: 06min

    Waziri Mkuu wa Papua New Guinea James Marape, ame hotubia bunge la Australia.

  • Saada afunguka kuhusu umuhimu wakutokomeza ukeketaji

    06/02/2024 Duración: 10min

    Februari 6 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji, mashirika na mamlaka mbali mbali huandaa hafla zakutoa elimu kwa umma kuhusu jambo hilo.

  • Taarifa ya Habari 6 Februari 2024

    06/02/2024 Duración: 21min

    Waziri Mkuu amekosoa upinzani kwa kufeli kuwa na msimamo kwa pendekezo lake la awamu ya tatu ya makato ya kodi, wakati vikao vya bunge la shirikisho vina anza tena.

  • Wanaume wakaribishwa kuchangia chakula na kutafuta suluhu za changamoto zao

    03/02/2024 Duración: 10min

    Ni nadra kupata kundi linalo shughulikia maswala ambayo huwakabili wanaume nchini Australia.

  • Taarifa ya Habari 2 Februari 2024

    02/02/2024 Duración: 18min

    Australia itatuma wajumbe New Zealand kujadili uwezekano wa ushirika wakijeshi katika muungano wa AUKUS.

  • Idadi yawa Australia wanao kosa kuwaona ma GP yaongezeka kwa sababu ya gharama kubwa za miadi

    02/02/2024 Duración: 06min

    Wakati mfumo wa huduma ya afya kwa wote ya Australia Medicare ina sherehekea miaka 40, data mpya imeonesha kuwa wagonjwa wana endelea kuepuka kuwaona madaktari kwa sababu ya gharama kubwa za miadi.

  • Taarifa ya Habari 1 Februari 2024

    02/02/2024 Duración: 06min

    Waziri mkuu ametupilia mbali pendekezo kuwa viwango vya juu vya makato ya kodi kwa wenye mapato ya chini, vita rejesha nyuma kupungua kwa viwango vya riba, nakusababisha hali ngumu kwa muda mrefu.

  • Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

    02/02/2024 Duración: 12min

    Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa.

  • Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"

    01/02/2024 Duración: 08min

    Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.

  • Taarifa ya Habari 30 Januari 2024

    30/01/2024 Duración: 19min

    Wa Australia wame hakikishiwa hapatakuwa mageuzi yatakayo fanywa kwa faida ya kodi ya mwekezaji wa nyumba, hii ni baada ya mageuzi ambayo yalikuwa hayajatarajiwa kwa awamu ya tatu ya makato ya kodi.

página 9 de 26